Nilikaa kimya muda mrefu nikificha hisia zangu, lakini kila nilipokuona moyo wangu ulikuwa ukidunda tofauti. Siku moja nilikusanya ujasiri nikakuambia, “Kila siku ninayokaa karibu nawe inanifanya nizidi kukupenda.” Ulitabasamu taratibu, na hapo nikajua kuwa confession yangu ilikuwa mwanzo wa kitu...
Nilikaa kimya muda mrefu nikificha hisia zangu, lakini kila nilipokuona moyo wangu ulikuwa ukidunda tofauti. Siku moja nilikusanya ujasiri nikakuambia, “Kila siku ninayokaa karibu nawe inanifanya nizidi kukupenda.” Ulitabasamu taratibu, na hapo nikajua kuwa confession yangu ilikuwa mwanzo wa kitu kizuri. ❤️
Maoni
0
Bado hakuna maoni.
Kuwa wa kwanza kusema kitu.